Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-02-23
Просмотров: 4312
Описание:
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuachia huru,Miriam Msuya ambaye ni mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini jijini Arusha, Erasto Msuya maarufu Bilionea Msuya na mwenzake Revocatus Muyella maarufu kwa jina la Rey baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao.
Washtakiwa hao walikuwa wanakabiliwa na shtaka la mauaji ya kukusudia ya kumuua Aneth Msuya aliyeuawa kwa kuchinjwa na kitu chenye nchi kali nyumbani kwake Kibada Kigamboni, Dar es Salaam Mei 25, mwaka 2016 aliyekuwa mdogo wa bilionea Msuya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: