Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars | Highlights | NBC PL 22/02/2026
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-02-23
Просмотров: 1519
Описание:
Mtibwa Sugar wamechezea kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Singida Black Stars, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma.
Singida wamepata mabao yao kupitia kwa Ndumumwe Mossi, Horso Muaku Malanga, na Kennedy Juma wakati goli la kufutia machozi kwa Mtibwa Sugar likifungwa na Raizin Hafidh.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: