ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

SAMIA LEGAL AID,YALENGA KUENDELEA KUTOA ELIMU MSAADA KISHERIA WANANCHI WENGI WATATULIWA MIGOGORO YAO

Автор: A24tv

Загружено: 2026-01-28

Просмотров: 28

Описание: Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla amesema kukutana kwa Wanasheria na Mawakili wa Serikali na kujengewa uelewa wa pamoja katika kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi ni utekelezaji wa vitendo wa maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuweka tabasamu kwa wananchi kwa kuondoa changamoto zao.

Mhe. Makalla amebainisha hayo leo Januari 28, 2026 Jijini Arusha wakati akimuwakilisha Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Juma Homera katika ufunguzi wa mafunzo ya Mawakili wa serikali kuhusu msaada wa kisheria, akieleza pia kuhusu mkakati wa serikali wa kuwatumia Mawakili wake katika kutoa msaada wa kisheria katika masuala yasiyokuwa na mgongano wa maslahi.

"Niwasihi sana kutumia weledi wenu katika kuhudumia wananchi na zaidi tujenge utamaduni wa kujitolea kwa wananchi kwani huduma za msaada kisheria ni wito lakini pia yachukulieni kwa uzito mafunzo haya na mtoe maoni yatakayoboresha mfumo wa msaada wa kisheria kwani bado tuna idadi kubwa ya wananchi wenye uhitaji." Amesema Mhe. Makalla.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Franklin Jasson Rwezimula amesema katika mafunzo hayo ya siku tatu, watajengeana uwezo kuhusu huduma za msaada wa kisheria, utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala, ushughulikiaji wa mashauri ya ukatili wa kijinsia pamoja na miiko ya utekelezaji wa majukumu ya wanasheria hao.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
SAMIA LEGAL AID,YALENGA KUENDELEA KUTOA ELIMU MSAADA KISHERIA WANANCHI WENGI WATATULIWA MIGOGORO YAO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Thời sự tối 05/02: Tổng Bí thư Tô Lâm hội đàm với Tổng Bí thư, Chủ tịch nước Lào | VTV

Thời sự tối 05/02: Tổng Bí thư Tô Lâm hội đàm với Tổng Bí thư, Chủ tịch nước Lào | VTV

KUTOKA SHAMBANI  ,HADI SOKONI MAKAMPUNI 408 YABADILI TASWIRA YA KILIMO PROFESA AFUNGUKA SOKO CHINA.

KUTOKA SHAMBANI ,HADI SOKONI MAKAMPUNI 408 YABADILI TASWIRA YA KILIMO PROFESA AFUNGUKA SOKO CHINA.

MKUU WA MKOA ARUSHA AWATAKA  WATENDAJI WA KATA,  WAKUU WA WILAYA KUTATUA KERO ZA WANANCHI ,WAFUATENI

MKUU WA MKOA ARUSHA AWATAKA WATENDAJI WA KATA, WAKUU WA WILAYA KUTATUA KERO ZA WANANCHI ,WAFUATENI

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

MZEE MSISIRI ATEMA CHECHE WASTARA KUOLEWA NA DUDUBAYA //

MZEE MSISIRI ATEMA CHECHE WASTARA KUOLEWA NA DUDUBAYA //

Arnold nie miał być Terminatorem

Arnold nie miał być Terminatorem

MAKONDA AFUNGUKA ARUSHA KUMALIZA HADITHI YA STENDI ALIIMALIZA

MAKONDA AFUNGUKA ARUSHA KUMALIZA HADITHI YA STENDI ALIIMALIZA

DIB: Wenye Amana Benki Zilizofungwa Kulipwa Ndani ya Mwezi Mmoja

DIB: Wenye Amana Benki Zilizofungwa Kulipwa Ndani ya Mwezi Mmoja

Предупреждение адмирала Джихата Яйджы о Сомали: зачем пришли ОАЭ?

Предупреждение адмирала Джихата Яйджы о Сомали: зачем пришли ОАЭ?

WAZIRI WA AFYA AKOSHWA NA UTENDAJI WA MBUNGE LUKUMAY NI MTU MUHIMU SANA KATIKA UONGOZI WA NCHI YETU.

WAZIRI WA AFYA AKOSHWA NA UTENDAJI WA MBUNGE LUKUMAY NI MTU MUHIMU SANA KATIKA UONGOZI WA NCHI YETU.

NABII MKUU PROF. GEORDAVIE ATUNUKIWA UPROFESSOR, WAZIRI KABUDI AOMBA VIONGOZI, AMANI IREJEE NCHINI.

NABII MKUU PROF. GEORDAVIE ATUNUKIWA UPROFESSOR, WAZIRI KABUDI AOMBA VIONGOZI, AMANI IREJEE NCHINI.

"О приказе Путина забыть"Из Баку прилетела установка по"Садоводу"? Поведение Алиева всё подтверждает

MAKONDA AFIKA KWENYE SOKO LA  KILOMBERO LAFIKIA ASILIMIA 64.73

MAKONDA AFIKA KWENYE SOKO LA KILOMBERO LAFIKIA ASILIMIA 64.73

⚡️У Путина ВЫШЛО СРОЧНОЕ ОБРАЩЕНИЕ к ЗЕЛЕНСКОМУ! НЕ успели ОБЪЯВИТЬ о ПЕРЕМИРИИ, как тут ТАКОЕ

⚡️У Путина ВЫШЛО СРОЧНОЕ ОБРАЩЕНИЕ к ЗЕЛЕНСКОМУ! НЕ успели ОБЪЯВИТЬ о ПЕРЕМИРИИ, как тут ТАКОЕ

Thời sự Hà Nội tối 05/02/2026: Xây dựng báo chí Thủ đô chuyên nghiệp, hiện đại,....

Thời sự Hà Nội tối 05/02/2026: Xây dựng báo chí Thủ đô chuyên nghiệp, hiện đại,....

Rosyjski parlament otwarcie wzywa do zakończenia nieudanej wojny na Ukrainie | RFU News

Rosyjski parlament otwarcie wzywa do zakończenia nieudanej wojny na Ukrainie | RFU News

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

TATO NA TRA ARUSHA WATOA MAFUNZO JUU YA MFUMO MPYA WA TRA KWA MAKAMPUNI YA UTALII MFUMO NI MRAISI .

TATO NA TRA ARUSHA WATOA MAFUNZO JUU YA MFUMO MPYA WA TRA KWA MAKAMPUNI YA UTALII MFUMO NI MRAISI .

Tak wygląda CAŁKOWITA KLĘSKA… Ukraina WYMAZAŁA wszystkie czołgi Putina

Tak wygląda CAŁKOWITA KLĘSKA… Ukraina WYMAZAŁA wszystkie czołgi Putina

Zbudował Podziemny Świat w Jaskini i Przeżył 9 Lat | Niesamowita Historia Zeka

Zbudował Podziemny Świat w Jaskini i Przeżył 9 Lat | Niesamowita Historia Zeka

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]