UFUNGUO || Mashindano ya kitaaluma kwa wanafunzi na mafanikio ya Shule ya Tusiime
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-05-31
Просмотров: 2222
Описание:
Ili kukuza uelewa wa wanafunzi na kuwajenga katika nafasi ya kufanya vema kwenye safari ya kitaaluma, mashindano ya kitaaluma ni jambo muhimu sana.
Je, shule ya Tusiime iliibukaje kinara kwenye kuonesha uwezo huo?
Ungana na Faraja Sendegeya kwenye UFUNGUO.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: