Wanaopinga serikali waondolewa kwa kamati nono bungeni
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 1892
Описание:
Baadhi ya wabunge wanaopinga serikali waliondolewa kutoka kwa baadhi ya kamati zenye ushawishi mkubwa katika bunge la kitaifa, watetezi wapya wa serikali wakipewa nafasi hizo.
Katika mabadiliko hayo, mbunge wa Suba South Caroli Omondi aliondolewa kutoka wadhfa wake wa mwenyekiti wa kamati ya utekelezaji wa katiba.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: