PYTHON: Jifunze python na AI kwa lugha rahisi ya kiswahili. Utangulizi.
Автор: Webnet Guardians
Загружено: 2025-03-27
Просмотров: 143
Описание:
Karibu katika mlolongo wa video za mafunzo ya python kwa lugha ya kiswahili.
haya ni mafunzo ambayo yatakuandaa kuelewa , kujifunza na kutumia AI
maitaji ili uweze kuanza mafunzo haya ni.
install python kwenye compyuter yako unaweza kuangalia video hii ili kujifunza jinsi ya kuinstall python kwenye compyuter yako
• installation: How to install python on Win...
lakini pia unaweza kuangalia video hii ili kujifunza jinsi ya kuinstall Visual studio code kwenye compyuter yako.
• Software review: how to install vs code:...
karibu sana.
lakini pia naomba ladhi kwa tatizo la sauti kwenye video hii bila shaka tatizo hili halitajitokeza kwenye video zinazofuata.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: