Azam FC 2-0 Mashujaa FC | Highlights | NBC Premier League 15/02/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-02-15
Просмотров: 62005
Описание:
Limefungwa goli la mbali zaidi hadi sasa kwenye ligi msimu huu, mlengaji akiwa ni beki wa Azam FC, Yoro Diaby dakika ya 82.
Goli la kwanza limefungwa na Zidane Sereri kwa assist ya kisigino dakika ya 72, na Azam FC ikashinda 2-0 dhidi ya Mashujaa FC kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Hii ni Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: