DAYCARE NI NINI?
Автор: Shelove Sensitive Kids Daycare
Загружено: 2022-05-08
Просмотров: 1695
Описание:
Mkurugenzi na Mmiliki wa vituo vya Shelove Sensitive Kids Daycare Tanzania
anakuelezea na kukujulisha UMUHIMU wa Daycare kwa mtoto, pia anakuelezea ni watoto wa kuanzia umri gani mpaka umri gani wanafaa kupelekwa Daycare, atakuelezea namna na jinsi anavyowalea na kuwatunza bila kusahau namna anavyowafundisha mpaka wanaelewa na kujitambua, jinsi anavyowafundisha kwa kutumia Tours mbalimbali huku wakifurahia na kupata kitu kipya kwenye ukuaji wao......kwa mengine mengi tafadhali ungana nae kwenye hii video....Karibu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: