Misamiati 20 ya kiswahili inayotumika kimakosa..
Автор: Norbypol TV
Загружено: 2022-01-06
Просмотров: 1779
Описание:
Kuna misamiati mingi sana watu hutumia kimakosa bila wao kujua kama wanatumia kimakosa na ukitumia misamiati hiyo unaweza kuleta maana nyingine kabisa.
Leo tutajifunza misamiati 20 ya kiswahili ambayo imezoeleka sana kutumiwa mitaani na sehemu nyingine lakini kumbe wanatumia kinakosa misamiati hiyo.
#misamiati
#kiswahili#onisigala#philipomwihava
#kiswahilifasaha
#lughayakiswahili#jifunzekiswahili #kijuekiswahili#lughayetu
#kiswahilichamwambao#swahili#
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: