E HABARI MARCH 03 2026/RAIS SAMIA ASEMA MRADI WA MATENKI YA MAFUTA UTAIMARISHA USHINDANI WA BANDARI
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 59
Описание: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo ameweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea na kusambaza mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, mradi unaogharimu zaidi ya Shilingi bilioni 701 zinazotolewa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA).
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: