Aliyeshiriki tukio la kuchanganya udongo siku ya Muungano afariki dunia
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-05-06
Просмотров: 320
Описание:
Mmoja wa watu walioshiriki kwenye tukio la kihistoria la kuchanganya udongo siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Hasaniel Elisaeli Mrema, amefariki dunia nyumbani kwake Old Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya kuugua kwa muda mrefu.
#AzamTVUpdates
Wahariri | Tuya Ibrahim, John Mbalamwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: