HUKU NI WAPI EP 001 - BUTALI MARKET
Автор: DANGER BEATS MEDIA
Загружено: 2025-11-19
Просмотров: 146
Описание:
Karibu kwenye HUKU NI WAPI SHOW – show ya burudani, adventure na stories za mtaa bila stress! 🗺🔥.Kila episode tunatembea maeneo tofauti, tunaexplore lifestyle, food, culture, mystery na zile spotes ambazo watu wengi hawajui.
Ikiwa unapenda vibes za travel, comedy, urban culture na street adventures, basi hii ndiyo show yako rasmi!
👉WATCH, SUBSCRIBE & SHARE kwa support – hii ndo inatupa nguvu ya kuwaletea content safi kila wiki.
👉 Drop a comment utuambie location gani unataka tuingie next!
TO EXPECT ON THIS EPISODE
✔ Exclusive tour ya eneo pekee kabisa
✔ Real stories from the streets
✔ Fun, adventure & hidden gems
✔ Conversations za ukweli bila filter
✔ Comedy, music & pure vibes
ABOUT THE SHOW
HUKU NI WAPI SHOW inaletwa kwenu na Danger Beats Media – home of creativity, culture & street entertainment. Tunakuonyesha Kenya tofauti…ile Kenya ambayo watu wengi hawajui.
CONNECT WITH US
📩 Business / Collaborations: [[email protected]](mailto:[email protected])
📞 WhatsApp: 0758689512
🎥 Follow our journey & behind the scenes kwa socials zetu (weka links hapa)
#HukuNiWapiShow #DangerBeatsMedia #KenyanContentCreators #StreetStoriesKE #AdventureKE #ExploreKenya #UrbanCultureKE
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: