HOJA MEZANI | Veta yaanza kutoa mafunzo maalum kuwajengea uwezo wafanyakazi wa ndani
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-02-23
Просмотров: 336
Описание:
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeanza kutoa mafunzo maalum ya mwezi mmoja kwa wafanyakazi wa ndani, yakilenga kuwajengea ujuzi na weledi kazini.
Mkuu wa Chuo cha VETA Mikumi, Marynurse Kazosi, amesema zaidi ya wafanyakazi 1,000 tayari wamenufaika na programu hiyo inayotolewa katika vyuo mbalimbali nchini. Mbali na kozi ya mwezi mmoja, VETA pia hutoa mafunzo ya muda mrefu ya miezi mitatu hadi sita.
Mafunzo hayo yanahusisha stadi za upishi, malezi na uangalizi wa watoto na wazee, pamoja na maadili ya kazi. Lengo ni kuwawezesha wafanyakazi wa ndani kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi, kujitambua na kuthamini mchango wao katika sekta ya ajira.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: