INASIKITISHA:BI Harusi afariki masaa 11 baada ya kuolewa!!
Автор: Geah Habibu
Загружено: 2017-08-02
Просмотров: 684686
Описание:
Hekaheka ya leo August 2 /2017 inatokea maeneo ya Mtoni kijichi jijini Dar es salaam ambapo hali ya sitofahamu na huzuni imeikumba familia ya binti mwenye umri wa miaka 21 ambaye amefunga ndoa na kufanyiwa sherehe za harusi akiwa mzma wa afya.Na ndoa ilifungwa siku ya jumapili mida ya saa kumi jioni na bwana harusi kuondoka na mkewe akiwa mzma.
Hali ilibadilika mida ya saa tisa usiku ambapo Bi harusi alikuwa akilalamika tumbo na hivyo kukimbizwa hospitali na umauti ukamkuta papo hapo...
Sikiliza kisa kizima Mama wa Marehemu na dada (kungwi) wakielezea jinsi ilivyokuwa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: