ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

HOTUBA YA DKT.JAFO KISARAWE

Автор: JAFO NA KISARAWE

Загружено: 2025-09-26

Просмотров: 3089

Описание: Mgombea ubunge Jimbo la Kisarawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Selemani Jafo, leo Ijumaa Septemba 26, 2025, amehutubia mamia ya wananchi katika Viwanja vya Kisarawe Sokoni na kueleza mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Dkt. Jafo amesema Dkt. Samia alipoingia madarakani alikuta zaidi ya kata 746 nchini hazina shule za sekondari za kata, lakini leo kila kata ina sekondari yake na shule mpya zaidi ya 360 zimeongezwa.

Aidha, amesema Kisarawe imepiga hatua kubwa katika elimu ambapo shule zenye kidato cha tano na sita zimeongezeka kutoka moja hadi kufikia tano.

Katika sekta ya miundombinu na nishati, Dkt. Jafo amebainisha kukamilika kwa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere ambalo limeongeza uwezo wa nchi kuzalisha umeme kutoka megawati 1,690 hadi 4,000.

Pia amesema, mradi wa reli ya kisasa (SGR) umeshaanza kufanya kazi kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma na ujenzi unaendelea maeneo mengine.

Ameongeza kwa kusema kuwa sekta ya afya nayo imepiga hatua kubwa chini ya uongozi wa Dkt. Samia, ambapo sasa kila Kanda nchini ina hospitali ya Kanda, na Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe imejengewa majengo mapya ya kisasa, yakiwemo ya ghorofa, pamoja na kupata madaktari bingwa 13, jambo lililoifanya kuwa kituo cha umahiri (center of excellence).

Kwa upande wa huduma za afya, Dkt. Jafo ameema Kisarawe sasa inaongoza mkoa wa Pwani kwa kuwa na vituo vya afya saba, huku kituo cha nane kikiwa kwenye hatua za ujenzi na cha tisa kikitarajiwa kujengwa.

Aidha, ameeleza kuwa vijiji vyote vya Kisarawe tayari vimepata umeme, na hatua inayofuata ni kuhakikisha vitongoji vyote vinapata huduma hiyo.

Ametaja pia miradi mipya itakayotekelezwa, ikiwemo ujenzi wa barabara ya Sungwi–Msangachale yenye urefu wa kilomita 34.5, shule ya msingi ya mchepuo wa Kiingereza mjini Kisarawe, na ujenzi wa shule pamoja na zahanati katika kijiji cha Kimani.

“Ndani ya miaka minne tu ya uongozi wake, Dkt. Samia ametufanyia mambo makubwa ambayo kwa kweli ni miujiza. Naomba tumpe kura zote za ndiyo ili aendelee kuleta maendeleo katika nchi yetu,” alisema Dkt. Jafo.KE

Mgombea ubunge Jimbo la Kisarawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Selemani Jafo, leo Ijumaa Septemba 26, 2025, amehutubia mamia ya wananchi katika Viwanja vya Kisarawe Sokoni na kueleza mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Dkt. Jafo amesema Dkt. Samia alipoingia madarakani alikuta zaidi ya kata 746 nchini hazina shule za sekondari za kata, lakini leo kila kata ina sekondari yake na shule mpya zaidi ya 360 zimeongezwa.

Aidha, amesema Kisarawe imepiga hatua kubwa katika elimu ambapo shule zenye kidato cha tano na sita zimeongezeka kutoka moja hadi kufikia tano.

Katika sekta ya miundombinu na nishati, Dkt. Jafo amebainisha kukamilika kwa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere ambalo limeongeza uwezo wa nchi kuzalisha umeme kutoka megawati 1,690 hadi 4,000.

Pia amesema, mradi wa reli ya kisasa (SGR) umeshaanza kufanya kazi kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma na ujenzi unaendelea maeneo mengine.

Ameongeza kwa kusema kuwa sekta ya afya nayo imepiga hatua kubwa chini ya uongozi wa Dkt. Samia, ambapo sasa kila Kanda nchini ina hospitali ya Kanda, na Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe imejengewa majengo mapya ya kisasa, yakiwemo ya ghorofa, pamoja na kupata madaktari bingwa 13, jambo lililoifanya kuwa kituo cha umahiri (center of excellence).

Kwa upande wa huduma za afya, Dkt. Jafo ameema Kisarawe sasa inaongoza mkoa wa Pwani kwa kuwa na vituo vya afya saba, huku kituo cha nane kikiwa kwenye hatua za ujenzi na cha tisa kikitarajiwa kujengwa.

Aidha, ameeleza kuwa vijiji vyote vya Kisarawe tayari vimepata umeme, na hatua inayofuata ni kuhakikisha vitongoji vyote vinapata huduma hiyo.

Ametaja pia miradi mipya itakayotekelezwa, ikiwemo ujenzi wa barabara ya Sungwi–Msangachale yenye urefu wa kilomita 34.5, shule ya msingi ya mchepuo wa Kiingereza mjini Kisarawe, na ujenzi wa shule pamoja na zahanati katika kijiji cha Kimani.

“Ndani ya miaka minne tu ya uongozi wake, Dkt. Samia ametufanyia mambo makubwa ambayo kwa kweli ni miujiza. Naomba tumpe kura zote za ndiyo ili aendelee kuleta maendeleo katika nchi yetu,” alisema Dkt. Jafo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HOTUBA YA DKT.JAFO KISARAWE

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

 JAFO AZINDUA KAMPENI KISARAWE,ATAJA VIPAUMBELE ZAIDI YA  6 IKIWEMO AFYA,ELIMU,MIUNDOMBINU NA UMEME.

🔴LIVE: DKT. JAFO ANAZUNGUMZA NA MAELFU YA WANACHI WA KISARAWE

HABARI KUBWA MCHANA HUU LEO IJUMAA...

HABARI KUBWA MCHANA HUU LEO IJUMAA...

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI ALIYOTOA KWA WAKURUGENZI WA HAMASHAURI,JULY 12,2016 IKULU DSM mp4

✅ MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KATIKA KAMPENI - MISUNGWI

Ona Dar es Salaam ya Zamani (1920s–1970s) | Historia ya Mzizima | Makala a.i

🔴#MKURUGENZI WA NIDA ANATOA TAMKO KWA WATANZANIA MUDA HUU/KITAMBULISHO CHA NIDA NI LAZIMA UWE NACHO

HOTUBA YA DKT.SAMIA TANGA MJINI, 29 SEPTEMBA 2025

Hotuba Ya SAMIA Yazua Mtafaruku Mkubwa | Mkakati wa Kumng'oa Wakabiliwa na Changamoto

SIRI NZITO ANACHOKIFANYA DP WORLD KWENYE BANDARI YA DAR ES SALAAM, MABILIONI YAOKOLEWA

Mambo 15 ya Kujifunza kwa Paul Makonda | Maisha Binafsi | Uongozi, Siasa

🔴#LIVE: KAULI YA KWANZA YA  ALIYEKUWA MGOMBEA URAIS ACT WAZALENDO MPINA ANAFUNGUKA MUDA HUU ....

⚡️ЖДАНОВ: СРОЧНО! Разведка США ВЫШЛА с СЕНСАЦИОННЫМ заявлением. СЛИЛИ инсайд из Кремля

LIWALO NA LIWE:MZEE BUBELWA KAAMUA KUSEMA YOTE.SABABU YA RAIS SAMIA NA CCM KUMTESA MCHUNGAJI  MALISA

Mh. Salma Kikwete & Ndugu John Mongella - Mkutano Maalumu Wa Mabalozi Wa Jimbo La Mchinga

BILA WOGA KIKEKE AMUULIZA SWALI ZITO NCHIMBI JUU YA MATUKIO YA UTEKAJI NA MAUAJI WALIYOIBUA CHADEMA

🔴#LIVE:DKT.MBUNDA AIBUKA NA MAZITO KILICHOTOKEA OKTOBA 29/AMTAJA LISSU NA HATMA YA WASOMI KWENYE....

Aliyekuwa Spika wa bunge akamatwa na kurushwa kwa jela

⚡️Путина ЗАГНАЛИ в ТУПИК! В панике РЕШИЛСЯ на БЕЗУМНОЕ. Россия НА ГРАНИ БУНТА. ГОРДОН, ЦИМБАЛЮК

Уоррен Баффет: Если вы хотите разбогатеть, перестаньте покупать эти 5 вещей.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]