Je wajua JINSI ya kupanda mmea wa MUANZI (BAMBOO TREE)
Автор: SOMI TV Online
Загружено: 2021-02-24
Просмотров: 2273
Описание:
Fahamu njia rahisi ya upandaji mmea wa Muanzi.
Hii ni katika zoezi la upandaji wa mianzi lilofanyika mjini Songea Mkoani Ruvuma, ambapo vijana kwa kushirikiana na taasisi binafsi ya SOMI wameweza kupanda zaidi ya mimea mia moja ya mianzi katika mradi wa "UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA KUTUMIA MTI WA MUANZI NA KUUKUZA MUANZI KIBIASHARA".
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: