Mfanyabiashara aliyeombwa rushwa na watumishi wa Serikali huyu hapa
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-06-10
Просмотров: 41758
Описание:
Baada ya Rais John Magufuli kukutana na wafanyabiashara na kisha mmoja wa wafanyabiashara hao kuelezea kadhi aliyopitia ya kuombwa rushwa na maafisa wa taasisi za serikali ikiwemo jeshi la polisi na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) tumemtafuta ili kufahamu mengi zaidi.
Ungana na Jamal Hashim akiwa na mfanyabiashara huyo Ramadhan Hamis.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: