ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NYUMBA NITU INGIINGIA BILA WENYEJI UNAKUWA KICHAA

Автор: SOPHY TOURS TV

Загружено: 2023-01-04

Просмотров: 5559

Описание: Leo tunazungumzia Msitu wa asili wa Nyumbanitu uko Njombe unajumuisha msitu pamoja na mapango. Msitu wa asili wa nyumbanitu wenye ukubwa wa hekta moja na nusu unatunzwa kimila na ni moja ya kivutio kikubwa sana mkoani Njombe.

Katika msitu wa nyumbanitu uliobeba maajabu ya aina yake hutumika kwa ibada za asili na unadaiwa kuwa na ngombe na kondoo weusi ambao wana historia ya aina yake yapo mapango ambayo yalitumiwa na wabena kujificha wakati wa vita.

Unapoanza kuingia tu katika msitu wa nyumbanitu (Nyumba nyeusi) ukibahatika basi unaweza kutana kuku weusi ambao hawaliwi na wala huwezi kuona wanataga wapi au wanalala wapi wakati mwingine hutembea makundi wakiwa watano au mmoja au wawili na tulipofika hapa tulipokelewa na mmoja wa kuku hao wa maajabu.

Sharti moja wapo la kuingia katika msitu wa nyumbanitu (Nyumba Nyeusi) ni lazima kuvua viatu na kutembea peku kwakufuata mstari lakini pia kuvaa kofia na vilemba hairuhusiwi uingiapo ndani ya msitu huu uliobeba historia ya kipekee.

Inaelezwa kwamna Mnamo mwaka 1948 hadi 1958 kampuji yabkizungu iliyopanda miti ya kisasa ndipo ilipoingia ambapo walikaribishwa na chifu wa wabena Joseph mbeyela, ambapo aliwataka kutoharibu uoto wa asili na miti ya asili katika eneo hilo lakini walikaidi na kufyeka baadhi ya eneo la msitu kwa kuwa hawakuamini mila zetu ndipo wakakumbana na maajabu.

Inaelezwa kuwa kila walipokata miti ilikuwa haidondoki inabaki imesimama kama kawaida. Na hapa kiongozi wa kimila wanaosimamia msitu huo ana eleza zaidi.

Lakini pia katika msitu huu yapo mapango makubwa sana ambayo yanadaiwa kutumiwa na watu wakati wa vita ikiwamo makazi ya ngombe wa ajabu waliokuwa wakizuka na kupita kuelekea msitu wa nyumbanitu kama anavyoeleza hapa mzee wa kimila Alex wangameli Msigwa.

Dada mujifadhi pamoja na Isaya mwaka jana bado tunachanja mbuga kuiangazia kusini utalii na tamaduni zetu endelea kuambatana nasi

Dada mujifadhi Sophia kessy ameweka kambi maendeo hayo ambapo leo anatupa undani huo kutokea njombe.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NYUMBA NITU INGIINGIA BILA WENYEJI UNAKUWA KICHAA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MSITU wa NYUMBANITU: MAAJABU Yake YATAKUSHANGAZA, IBADA za MIZIMU, KUKU WEUSI WANAJIFUGA

MSITU wa NYUMBANITU: MAAJABU Yake YATAKUSHANGAZA, IBADA za MIZIMU, KUKU WEUSI WANAJIFUGA

MZEE ALIEJITENGENEZEA UMEME NJOMBE, KASAMBAZA KWA MAJIRANI, ELFU 5 KWA MWEZI, KAISHIA LA 7

MZEE ALIEJITENGENEZEA UMEME NJOMBE, KASAMBAZA KWA MAJIRANI, ELFU 5 KWA MWEZI, KAISHIA LA 7

MJINI SHULE, EPUKA MATAPELI (EP 08)

MJINI SHULE, EPUKA MATAPELI (EP 08)

Jionee Maajabu ya Ziwa Ngosi

Jionee Maajabu ya Ziwa Ngosi

wandendeule na asili yake

wandendeule na asili yake

NYUMBANITU EP3: Kilicho wapata WALOKOLE Walivyoingia msituni na kuchukua Pesa za Sadaka za Matambiko

NYUMBANITU EP3: Kilicho wapata WALOKOLE Walivyoingia msituni na kuchukua Pesa za Sadaka za Matambiko

ITAKULIZA! SWEBE SANTANA ATOKWA MACHOZI - KISA SSEBO -

ITAKULIZA! SWEBE SANTANA ATOKWA MACHOZI - KISA SSEBO - "ALIKUWA MTU MZURI -ALIPENDA WATU WAFANIKIWE"

TWIKALE MIHO_Sinai choir Ujindile

TWIKALE MIHO_Sinai choir Ujindile

NITARUDI NJOMBE KWETU NJOMBE 1

NITARUDI NJOMBE KWETU NJOMBE 1

MANARA arusha jiwe gizani awataja KITENGE na SHAFII DAUDA

MANARA arusha jiwe gizani awataja KITENGE na SHAFII DAUDA "waacheni wafanye kazi "

KISA CHA SHARIFU NA BWAWA LENYE MAAJABU KISIWANI COMORO - DR.SULLE

KISA CHA SHARIFU NA BWAWA LENYE MAAJABU KISIWANI COMORO - DR.SULLE

MAAJABU: GENGE LINALOJIUZA, UNALIPA HELA UNACHUKUA CHENJI MWENYEWE

MAAJABU: GENGE LINALOJIUZA, UNALIPA HELA UNACHUKUA CHENJI MWENYEWE

MAMBO YA KUSTAAJABISHA MSITU WA ASILI NYUMBANITU NJOMBE

MAMBO YA KUSTAAJABISHA MSITU WA ASILI NYUMBANITU NJOMBE

MWANZO MWISHO:Dakika 15 Za Mlima KITONGA Kuelekea IRINGA Ni Balaa!

MWANZO MWISHO:Dakika 15 Za Mlima KITONGA Kuelekea IRINGA Ni Balaa!

HIZI NDIO MILA NA TAMADUNI ZAKABILA LA WAZARAMO

HIZI NDIO MILA NA TAMADUNI ZAKABILA LA WAZARAMO

RAIS SAMIA ATOA NENO KUHUSU TUME YA UCHUNGUZI UHAMAJI NGORONGORO ATOA MAAGIZO KWA WAZIRI MKUU

RAIS SAMIA ATOA NENO KUHUSU TUME YA UCHUNGUZI UHAMAJI NGORONGORO ATOA MAAGIZO KWA WAZIRI MKUU

MUONEKANO WA NDANI, KABURI LA BILIONI 1 LA TAJIRI ALILOJIJENGEA NA AKAZIKWA LEO..

MUONEKANO WA NDANI, KABURI LA BILIONI 1 LA TAJIRI ALILOJIJENGEA NA AKAZIKWA LEO..

TAZAMA VIDEO NZIMA YA YULE MCH.ANAEWACHANA LIVE WABABAISHAJI

TAZAMA VIDEO NZIMA YA YULE MCH.ANAEWACHANA LIVE WABABAISHAJI "Hutaki nenda kwanza sijakuita"

ЭТО ЧУДЕСА ЧЕРНОГО ДОМА

ЭТО ЧУДЕСА ЧЕРНОГО ДОМА

MSITU WA NYUMBANITU/MSITU WENYE MAAJABU MENGI NA KUTISHA  NJOMBE/FULL  HISTORIA

MSITU WA NYUMBANITU/MSITU WENYE MAAJABU MENGI NA KUTISHA NJOMBE/FULL HISTORIA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]