Samia na Museveni waweka mkakati mpya wa ushirikiano Dar es Salaam
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 265
Описание: Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika ikulu jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, suala la kuongeza kiwango cha biashara kati ya Tanzania na Uganda lilipewa kipaumbele. Rais Samia ameeleza kuwa Tanzania inaendelea kuboresha bandari zake, hususan Bandari ya Dar es Salaam na Bandari ya Tanga, ili kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa bidhaa za Uganda kupitia Tanzania.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: