Скачать
Muhtasari: 1 Samueli
Автор: BibleProject - Kiswahili
Загружено: 2021-12-10
Просмотров: 3618
Описание:
Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 1 Samueli, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika 1 Samueli, Mungu, kwa shingo upande, anainua wafalme watawale Waisraeli. Mfalme wa kwanza alifeli na mfalme wa pili anayechukua hiyo nafasi, Daudi, anakuwa mwaminifu.
#BibleProject #Biblia #Samueli
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: