Idadi kubwa ya wanawake busia wameathirika na dawa za kulevya
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 1373
Описание: Imebainika kuwa idadi kubwa ya wanawake Busia wameathirika na uraibu wa dawa za kulevya na pombe, ila wanahofia kutembelea vituo hivyo vya kurekebisha maadili kwa kuhofia unyanyapaa. Hali hiyo imeibua shinikizo serikali ya kaunti kuweka vituo zaidi vya kuwarekebisha waraibu, haswa wanawake ili kuwasaidia kupata matibabu na ushauri nasaha kwa wakati ufaao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: