Bondia Fadhil Majiha afunguka masikitiko yake kubadilishiwa mpinzani siku chache kabla ya pambano
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-02-03
Просмотров: 1073
Описание:
VITASA: “Iliniumiza sana”
Bondia Fadhil Majiha amebainisha kuwa taarifa za kubadilishiwa mpinzani zilimuumiza sana na aliamua kupigana ili kulinda maslahi ya wapenda ngumi na wadhamini.
Awali Majiha alitakiwa kupigana na Akan Sambu kutoka Afrika Kusini, lakini baadae akabadilishiwa mpinzani na kupigana na Harjot Singh kutoka India katika usiku wa Bongo Fighting Championship Januari 31, The Super Dome
Akan Sambu alishindwa kupigana baada ya kuumia mazoezini.
#Vitasa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: