RAIS SAMIA AMPA MILIONI 10 MWANAMUZIKI MKONGWE ALLY ZAHIL ZORRO | MWANA FA AMTEMBELEA
Автор: FMB TV
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 34
Описание:
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msaada wa shilingi milioni 10 kwa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Ally Zahir Zorro.
Msaada huo ulikabidhiwa nyumbani kwake Kigamboni na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
Katika video hii utashuhudia:
Tukio la kukabidhi msaada wa Rais Samia kwa Zorro
Ziara ya Mwana FA nyumbani kwa mwanamuziki huyu mkongwe
Shukrani na hisia za Zorro kwa msaada huu wa kipekee
Tukio hili linaonesha namna serikali inavyowathamini wasanii walioweka historia na kutoa hamasa kwa kizazi kipya cha muziki nchini.
Usisahau ku-subscribe kwa habari na matukio mengine ya burudani na utamaduni Tanzania.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: