PANYA ROAD WAVUA WATU NGUO BUNJU, WANANCHI WAMLILIA DR SAMIA SULUHU, TUMECHOKA KUKATWA MAPANGA.
Автор: CMB BRIGHT TV
Загружено: 2023-02-17
Просмотров: 262
Описание:
CMB BRIGHT TV
Ni TV inayokuletea habari, matukio, simulizi, exclusive interview na mambo mbali mbali yanayojiri ulimwenguni. Subscribe channel yetu kisha gusa alama ya kengere ili uwe wa kwanza kupata habari zetu
CMB BRIGHT TV
IFUATAYO NI RATIBA YA VIPINDI
1: BACK TO BACK
Hiki ni kipindi kinachokuwezesha mtazamaji wetu kupata habari mpya pamoja na
maoni ya watanzania juu ya matukio mbali mbali yanayoendelea mtaani kwako
kwani tutatembea mtaa kwa mtaa na kukusanya maoni yako. Kipindi hiki
kitakuwa ni kila siku ndani ya ssa 24 kutegemeana na matukio yanayojiri
2: NGUVU YA JAMII
Hiki ni kipindi ambacho kinawawezesha watu wanaosumbuliwa na matatizo mbali
mbali kama vile magonjwa na kadhalika. Tutaweza kufanya kipindi na mtu ambae
ana matatizo yaliyo nje ya uwezo wake kiasi kwamba anahitaji nguvu au mchango
wa watanzania ili kuweza kukabiliana na matatizo hayo kitu ambacho kitamsaidia
muhusika sauti yake kusikika kwenye jamii na kuweza kupatiwa msaada na jamii
au sector husika. Kipindi hiki kitakuwa ni kila siku kuanzia saa11:00 asubuhi hadi
saa 2:00 mchana
3: THE TRUE NARATION
Hii ni kwa ajiri ya kukupa story kali zenye kusisimua na kuhelimisha zilizojiri au
zinazojiri hapa duniani. Kipindi hiki kitaruka kila jumapili saa 2:00 mchana hadi saa
05:00 jioni.
JE? Una story. kipindi simulizi tukio habari au jambo lolote na unataka kuzungumza nasi kupitia TV yetu? Piga namba +255 718023191 au tutafute whatssap namba hiyo hiyo utapata huduma kwa haraka sana.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: