NIKUFANANISHE NA NANI | Zion Flow Worship
Автор: ZION FLOW
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 162
Описание:
Nikufananishe na nani? Hakuna kama Wewe, Ee Mungu!
Huu ni wimbo wa ibada unaotukumbusha ukuu na utakatifu wa Mungu. Hakuna anayefanana na Yeye katika mbingu na duniani.
Wimbo huu wa Zion Flow Worship unaleta mazingira ya kuabudu, kutafakari na kumtukuza Mungu kwa moyo wote. Malaika wanaimba mbinguni na nasi tunaungana nao katika ibada.
🙏 Tumia wimbo huu kwa:
• Prayer time
• Personal worship
• Meditation with God
• Quiet time na Mungu
📖 “Ni nani kama Wewe, Ee Bwana?”
🔔 Subscribe kwa Zion Flow Worship kwa nyimbo zaidi za ibada na utukufu wa Mungu.
#WorshipMusic #ZionFlow #NikufananisheNaNani #ChristianWorship #HeavenlyWorship
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: