Wabunge walivyosimama kumshangilia Rais mstaafu Kikwete
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-04-04
Просмотров: 84731
Описание:
Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma. Mkutano huu ni kwa ajili kupitisha bajeti ya Serikali itakayowasilishwa bungeni June 15 mwaka huu.
Kati ya wageni waliotambulishwa leo mbungeni ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete, unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: