AIBU!! MWANAJESHI MSTAAFU AILIPUA VIBAYA OFISI YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI NJOMBE KWA KUSEMA UONGO
Автор: ICON TV TZ
Загружено: 2023-12-18
Просмотров: 2262
Описание: Ni katika ziara ya kamati ya siasa mkoa wa Njombe katika halmashauri ya mji wa Makambako ambapo mbele ya katibu wa siasa na uenezi mkoa wa Njombe Josaya Luoga,mwenyekiti huyu wa serikali ya mtaa wa Kahawa ndugu David Mwamlima ambaye ni mwanajeshi mstaafu amelazimika kusimama kwa hasira akiwataka wataalam wa halmashauri kupitia ofisi ya mkurugezi kuwa wakweli kutokana na kusema kuwa halmashauri hiyo huwalipa posho wenyeviti shilingi laki mbili kila baada ya miezi mitatu ili hali yeye amepewa shilingi elfu 30 kwa miezi sita
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: