M23 wauteka mji wa Uvira
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-12-10
Просмотров: 65381
Описание:
Burundi imeufunga mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya waasi wa M23 kuingia katika mji wa Uvira, ulio karibu na Mji Mkuu wa Burundi, Bujumbura.
Haya yanafanyika huku Rwanda ikiilaumu Burundi na Kongo kwa kukiuka mkataba wa amani uliosimamiwa na Rais Trump wa Marekani.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: