Wakulima wa mpunga Karaba wanakili ongezeko la mazao
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-01-12
Просмотров: 150
Описание:
Wakulima wa mpunga katika eneo la Karaba la mradi wa unyunyiziaji mashamba maji wa Mwea, wamenakili ongezeko la kiwango cha uzalishaji mpunga kufuatia kuwepo wa maji ya kutosha. Ongezeko hilo la mazao linatokana na uwekaji wa mifereji ya kunyunyiza mimea maji, upatikanaji wa maji ya kutosha na kuongezwa kwa ardhi inayonyunyizwa maji, hali ambayo pia imeongeza kiwango cha uzalishaji zao hilo cha kila mwaka.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: