Mashine mpya ya kisasa kuongeza Kasi ya uzalishaji tofali Kakonko
Автор: WAKANDA POWER HOUSE
Загружено: 2022-03-20
Просмотров: 4439
Описание:
Mradi wa uzalishaji tofali halmashauri ya Kakonko washika Kasi
Hii inafuatia Halmashauri hiyo kuongeza mashine mpya ya kisasa ya kupigia tofali yenye uwezo wa kuzalisha Hadi tofali 8,000 Kwa siku.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo ndugu Ndaki Mhuli anafafanua zaidi katika video hii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: