ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

ASILIMIA 50 YA ENEO LA TANZANIA LINA MAFUTA NA GESI ASILIA: UTAFITI

Автор: CHANNEL ONE

Загружено: 2024-07-12

Просмотров: 348

Описание: MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli(PURA) Mhandisi Charles Sangweni amesema asilimia 50 ya eneo la Tanzania lina Mafutq na Gesi asilia na kuwa utafiti bado unaendelea kubaini gesi hiyo ipo kwakiwango gani ikiwa nipamoja na kuainisha maeneo ya uchimbaji

Mhandisi Sangweni ameyasema hayo katika Banda la PURA wakati alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 48 Biashara Kimataifa (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam (SABASABA)

Amesema mpaka sasa kuna maeneo ambayo tayari yameshagunduliwa gesi ikiwemo Mnazi Bay pamoja na Songosongo iliyopo Mtwara,lakini maeneo mengine pia yana gesi asilimia na mafuta

"Maeneo yenye viashiria ya mafuta SQM 5,034,000 karibu asilimia zaidi ya 50 za eneo la Tanzania" amesema

Aidha, utafiti uliofanyika kwenye SQKM 169200 huku eneo lililofanyiwa Utafiti kwa kiwango kikubwa kipo maeneo ya Pwani kuanzia Kaskazini kwa maana ya Tanga,Kusini na Mtwara eneo hili limeenda mbali zaidi kuingia baharini zaidi ya km 400,eneo hili tulishapata kibali Umoja wa Mataifa kwani maeneo mengine ayamilikiwi na nchi yoyote

Aidha Amesema, Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ya asilimia 80 itapunguza matumizi ya nishati ambayo inachafua mazingira na kwamba Gesi ya Tanzania inayopatikana Songosongo imeidhinishwa na dunia kama nishati itakayo tumikama nishati ya mpito kuelekea matumizi ya asilimia mia ya nishati safi

Mhandisi Sangweni ameyasema hayo katika Banda la PURA wakati alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 48 Biashara Kimataifa (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam (SABASABA)

Amesema kutokana na ugunduzi wa gesi unaoendelea nchini wananchi wanapaswa kutumia nishati safi yakupikia ambayo haina madhara ukilinganisha na matumizi ya Kuni na Mkaa

‘Malengo yakutumia nishati safi ya kupikia kufikia asilimia 80 mwaka 2034 lazima,tutoke kwanye matumizi ya nishati ambayo inachafua hali ya hewa kama Mkaa pamoja na kuni twende tukatumia nishati ambayo haina madhara kwa kiasi kikubwa,’alisema Mhandisi Sangweni.

Amesema kuwa wanafanya tafiti mbalimbali zakuwezesha jambo hili liwezekane kwa kuzalisha kiasi cha gesi ambacho kitaweza kuhudumia majumbani,katika magari na kwenye maeneo mengine

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
ASILIMIA 50 YA ENEO LA TANZANIA LINA MAFUTA NA GESI ASILIA: UTAFITI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Tanzania kuanza kuchimba Mafuta na Gesi Asilia mwaka 2026 kupitia mradi wake wa Eyasi Wembere.

Tanzania kuanza kuchimba Mafuta na Gesi Asilia mwaka 2026 kupitia mradi wake wa Eyasi Wembere.

Путин объявил о победе / Конец спецоперации / Судьба оккупированных земель / Итоги 2025

Путин объявил о победе / Конец спецоперации / Судьба оккупированных земель / Итоги 2025

TPDC yakamilisha Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia nchi kavu Bonde la Eyasi Wembere/Ziwani kuendelea.

TPDC yakamilisha Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia nchi kavu Bonde la Eyasi Wembere/Ziwani kuendelea.

MORNING TRUMPET: Utafiti wa gesi ya helium na manufaa yanatotarajiwa kwa Tanzania

MORNING TRUMPET: Utafiti wa gesi ya helium na manufaa yanatotarajiwa kwa Tanzania

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KAMA UNATAKA KUNUNUA GARI YA GESI AU KUWEKA MFUMO WA GESI KWENYE GARI

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KAMA UNATAKA KUNUNUA GARI YA GESI AU KUWEKA MFUMO WA GESI KWENYE GARI

MOMBASA TO DARESALAM

MOMBASA TO DARESALAM

MAPYA KUHUSU UTAFUTAJI WA GESI NA MAFUTA TANZANIA, NONDO ZASHUSHWA “AJIRA ZINAKUJA”

MAPYA KUHUSU UTAFUTAJI WA GESI NA MAFUTA TANZANIA, NONDO ZASHUSHWA “AJIRA ZINAKUJA”

MAAJABU!

MAAJABU! "HILI ni BOMBA la MAFUTA Refu Kuliko Yote DUNIANI" - RAIS MAGUFULI

Utafiti wa Mafuta na Gesi washika kasi Arusha, Simiyu na Singida/Sh Bilioni 43 kutumika.

Utafiti wa Mafuta na Gesi washika kasi Arusha, Simiyu na Singida/Sh Bilioni 43 kutumika.

GESI ASILIA YAANZA KUSAMBAZWA MWENGE MPAKA MBEZI BURE, HOTELINI, VIWANDANI

GESI ASILIA YAANZA KUSAMBAZWA MWENGE MPAKA MBEZI BURE, HOTELINI, VIWANDANI

MAFUTA YAMEGUNDULIKA TANZANIA ? MAJIBU HAYA HAPA

MAFUTA YAMEGUNDULIKA TANZANIA ? MAJIBU HAYA HAPA "KUNA UJAZO WA TRILIONI 47 BAHARINI"

UGUNDUZI WA GESI TANZANIA, KAMISHNA ASEMA WATAKAVYOITUMIA KWA WANANCHI, ATAJA VIPAUMBELE VIKUU

UGUNDUZI WA GESI TANZANIA, KAMISHNA ASEMA WATAKAVYOITUMIA KWA WANANCHI, ATAJA VIPAUMBELE VIKUU

TAMBUA UTAFITI WA MADINI YA NIKELI KWA NJIA YA JIOFIZIKIA KUFITIA USUMAKU

TAMBUA UTAFITI WA MADINI YA NIKELI KWA NJIA YA JIOFIZIKIA KUFITIA USUMAKU

#ZANZIBAR KUTANGAZA TENDA UCHIMBAJI OIL GAS ASILIA

#ZANZIBAR KUTANGAZA TENDA UCHIMBAJI OIL GAS ASILIA

Rais MAGUFULI ‘Mafuta Mengi Yagunduliwa katika Bonde la Eyasi Wembere’

Rais MAGUFULI ‘Mafuta Mengi Yagunduliwa katika Bonde la Eyasi Wembere’

RASMI ZNZ YARUHUSU UCHIMBAJI WA GESI ASILIA NA MAFUTA, MCHAKATO UMEKAMILIKA

RASMI ZNZ YARUHUSU UCHIMBAJI WA GESI ASILIA NA MAFUTA, MCHAKATO UMEKAMILIKA

VIASHIRIA vya UWEPO WA NISHATI ya MAFUTA TANZANIA VYABAINIKA, PURA WAELEZA

VIASHIRIA vya UWEPO WA NISHATI ya MAFUTA TANZANIA VYABAINIKA, PURA WAELEZA

Czy Chiny szykują się na upadek Rosji?

Czy Chiny szykują się na upadek Rosji?

Usiweke GESI kwenye GARI au BAJAJI ! Kabla Hujaangalia HII

Usiweke GESI kwenye GARI au BAJAJI ! Kabla Hujaangalia HII

SIRI NZITO ANACHOKIFANYA DP WORLD KWENYE BANDARI YA DAR ES SALAAM, MABILIONI YAOKOLEWA

SIRI NZITO ANACHOKIFANYA DP WORLD KWENYE BANDARI YA DAR ES SALAAM, MABILIONI YAOKOLEWA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]