Shutma zaendelea kuhusu ugavi wa ardhi ya Kibiko
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 127
Описание:
Shutma kuhusiana na mzozo katika shughuli ya ugavi wa ardhi ya Kibiko ambao umesababisha kifo cha afisa wa polisi, watu kadhaa kujeruhiwa na mali kuharibiwa zimewagawanya viongozi kutoka sehemu hiyo. Baadhi ya viongozi hao wakiongozwa na mbunge wa Kajiado Magharibi George Sunkuiya na wengine wanaoongozwa na gavana Joseph Ole Lenku na mwakilishi wanawake bungeni wa kaunti ya Kajiado Leah Sankaire wanashtumiana kuhusiana na ghasia zilizoshuhudiwa hivi majuzi kufuatia shughuli ya ugawaji ardhi ya ekari 2,800 inayokadiriwa kuwa ya thamani ya shilingi bilioni-100.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: