Yaliyonifikia kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani kitengo cha Uhamiaji
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2016-03-18
Просмотров: 10173
Описание: Wizara mbalimbali za Serikali hii ya awamu ya tano zinazidi kuingia kwenye headline, ikiwa ni siku kadhaa zimepita baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga kuagiza idara ya uhamiaji ifanyiwe mabadiliko makubwa ili kuboresha huduma na kuimarisha uadilifu katika vitengo vya idara hiyo nyeti.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: