WAHUJUMU UJENZI KITUO CHA AFYA SINDENI KUCHUKULIWA HATUA, TANGA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 240
Описание:
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Dokta Mwigulu Nchemba, amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga kuchunguza na kuwachukulia hatua wale wote wanaodaiwa kuhujumu ujenzi wa Kituo cha Afya Sindeni, pamoja na walio sababisha kuganda kwa mifuko zaidi ya elfu moja ya saruji na hiyo imetokana na uchunguzi wa awali kubaini milango thelathini na nne iliotumika kwenye ujenzi huo ipo chini ya kiwango.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: