Watu wanaoishi na ulemavu waandamana Washington, DC wanataka waishi na familia
Автор: VOA Swahili
Загружено: 2023-05-16
Просмотров: 265
Описание:
Umati wa watu wanaoishi na ulemavu umefanya maandamano nje ya ofisi za Wizara ya Afya na Huduma za Jamii (HHS) Jijini Washington DC, Marekani wakiitaka Tume ya Msaada wa Wananchi (ACL) kuhakikisha uhuru wa kuishi kwa kuondoa mfumo wa udhamini ambao unawaweka watu wenye ulemavu kwenye taasisi za kulelewa.
#wanaoishinaulemavu #maandamano #wizarayaafya #marekani #washingtondc #mfumo #udhamini #taasisi #voa #voaswahili #hudumazajamii
- - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: