ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WAFAHAMU KUKU WA KIENYEJI AINA YA MWENDOKASI (audio Documentary )

Автор: Kuku Village Farm

Загружено: 2023-04-26

Просмотров: 6186

Описание: Jiunge Na Group letu la Mwendokasi

https://chat.whatsapp.com/C17Bh4k1SH7...

WAFAHAMU KUKU WA AINA YA MWENDOKASI WANAOZALISHWA NA KUKU VILLAGE*

MWENDOkasi ni kuku Aliyeboreshwa Mwenye asili ya Kienyeji wa Tanzania (ambao ni Kienyeji wa Kisukuma pamoja na Kienyeji wa Horas. Lakini akafanyiwa Uborashaji Zaidi ili kumuwezesha Kuwa na Uwezo wa Kutaga Sana na Awe Anakua Haraka, ili afae kwa nyama pia. Ni mbegu ambayo hukua haraka sana, hutaga mayai 250 na kuendelea kwa mwaka, ni kuku ambao wana nyama tamu zaidi ya Kienyeji wa kawaida, ni kuku ambao wanastahimili magonjwa na ni kuku ambao wanakuwa na Nyama nyingi na maumbo makubwa bila kusahau huweza kufikisha hadi kilo 5 ndani ya miezi 6 au 7.
Kuku wa MWENDOkasi ni kuku wanaopatikana kuku village pekee kwani wao ndiyo waliofanya utafiti wa mbegu hiyo na kupata aina , muonekano na sifa za kuku hao ambao kutokana na sifa zao za ukuaji na utagaji walipewa jina la MWENDOKASI

Lengo la kupata MWENDOkasi lilikuwa ni kuangali namna tunaweza ingia sokoni na kuku bora anayekua haraka, Mrefu , Mstahimilivu wa Magonjwa, Mtagaji sana, anayetaga Mayai Meupe, Medium Size na yaliyochongoka, na bado akipata hizo sifa zote asipoteze ladha, na muonekano wa wa Kuku wa Kienyeji .
Ndiyo maana tukapata MWENDOkasi.

Kiufupi tunaweza sema MWENDOkasi ni kienyeji wa kibiashara . Kwani malengo ya Kumzalisha ni kuchukua nafasi pana ya Kuku wa Kienyeji katika Utagaji zaidi na ukuaji zaidi bila Kuathiri Ubora Wa kuku wa Kienyeji.

Kingine MWENDOkasi anafugika katika mazingira yoyote, iwe ndani, huria na nusu huria. Pia ukimfugia nje akapata Majani ya kutosha huwa anakuwa na Nyama na Mayai ya njano.

Bila shaka utakubaliana na mimi kuwa katika soko la kuku, kuku wa kienyeji ni dhahabu, hasa mijini. Kwani ana bei kubwa na hapatikani kwa wingi. Sasa wewe utakayefuga MWENDOkasi hii itakuwa ni faida kwako kwani utazalisha kuku wengi sana, na utawauza kwa bei ile ile ya juu. Hivyo kufanikiwa zaidi kibiashara .

Pia kuna kitu ambacho wafugaji ni lazima wajue. Katika ufugaji ili upate matokeo bora ni lazima ufuge kitaalamu. Yani Chakula Bora, Chanjo, Usafi na biosecurity . Hivi vitu vitakusaidia ufike vizuri katika malengo yako. Jambo la msingi unalotakiwa kufahamu... ukifuga MWENDOkasi mpaka anafikisha miezi 4 au 5. Gharama zitakuwa around 3000* Mpaka 7000 * (gharama zitategemea na eneo ulilopo)
kwa kuku na ukimuuza ni kuanzia 10,000 Mpaka 25,000 inategemea na mahali ulipo. Pia mayai yake utauza 10,000 mpaka 18,000 Kwa Trei.

Kuku wetu wa MWENDOkasi, wanafikia umri wa kuliwa au kuuzwa kwa nyama wakiwa na miezi 2.5 mpaka 3, huku wakiwa na uzito wa 1.8kg kwa tetea na 2.3 kwa jogoo.

Kwa upande wa mayai kuku wa MWENDOkasi huanza kutaga wakiwa na wiki 18 yaani miezi 4.5. Na wakifikia peak ya utagaji huwez kutaga kwa asilimia 82 mpaka 88. Viwango ambavyo ni vya COMMERCIAL LAYERS

Kwenye Suala la kulalia kuku wetu wamegawanyika katika makundi mawili wapo wanaolalia na wasiolalia.. kwasababu Lengo la kupata MWENDOkasi ni sababu za biashara ya Mayai basi kuku wanaolalia huwa ni wachache. Na hii lengo lake ni kuwasaidia wanaohitaji Vifaranga na hawana mashine basi watatumia hao tetea katika kuatamia na kupata Vifaranga. Ila kama mteja atahitaji kuku wengi zaidi walalie basi kuku wetu huwa wanatabia ya kuambukizana tabia ya kulalia. Akiwaacha hao wanaolalia kwa muda mfupi atajikuta kuku karibia wote wameingia joto na kulalia. Ila kwa wale wateja wasiohitaji kulali . Huwa kuna namna ambayo huwa tunawashauri wafanye ili kuondoa hiyo hali na kumuepushia mteja hasara ya kulalia na kukata utagaji.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAFAHAMU KUKU WA KIENYEJI AINA YA MWENDOKASI (audio Documentary )

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Ukisikia Ufugaji Unatajirisha NIKWELI Usibishe !! Dada Aliamua hadi Kuacha Kazi TBL

Ukisikia Ufugaji Unatajirisha NIKWELI Usibishe !! Dada Aliamua hadi Kuacha Kazi TBL

UNATAKA KUFANIKIWA KUPITIA UFUGAJI? FUGA AINA HII YA KUKU WANAITWA MWENDOKASI KIENYEJI. HUTAGA SANA

UNATAKA KUFANIKIWA KUPITIA UFUGAJI? FUGA AINA HII YA KUKU WANAITWA MWENDOKASI KIENYEJI. HUTAGA SANA

Катастрофа в столице / Захват Киева Россией?

Катастрофа в столице / Захват Киева Россией?

Turkey Baking Factory Tour – From Raw to Golden Roasted (Complete Industrial Process)

Turkey Baking Factory Tour – From Raw to Golden Roasted (Complete Industrial Process)

⚡️ Жёсткое нападение на военных || Силовики начали штурм

⚡️ Жёсткое нападение на военных || Силовики начали штурм

JOGOO LA MAAJABU, ANAUZWA LAKI 3, YAI LAKE MOJA ELFU 20, ANAYEMFUGA AFUNGUKA -

JOGOO LA MAAJABU, ANAUZWA LAKI 3, YAI LAKE MOJA ELFU 20, ANAYEMFUGA AFUNGUKA - "NI MKUBWA DUNIANI"

КУРЯТНИК С УМОМ / Продуманное решение для счастливых кур

КУРЯТНИК С УМОМ / Продуманное решение для счастливых кур

KUKU AINA YA SASSO CHANZO CHA UTAJIRI MTWARA

KUKU AINA YA SASSO CHANZO CHA UTAJIRI MTWARA

Субэдэй: Генерал, который превзошел Македонского | Псы Войны Чингизхана: эпизод 1

Субэдэй: Генерал, который превзошел Македонского | Псы Войны Чингизхана: эпизод 1

REWIND TIMELAPSE – Harvesting Tons of Chicken Eggs From Nests to Countryside Market

REWIND TIMELAPSE – Harvesting Tons of Chicken Eggs From Nests to Countryside Market

Ufugaji ; Mjue Kuku Kuchi na aina zake, Sailan na Kuchi jiwe mdomo kasuku.

Ufugaji ; Mjue Kuku Kuchi na aina zake, Sailan na Kuchi jiwe mdomo kasuku.

TUMIA CHANJO YA TATU MOJA KUOKOA GHARAMA ZA UFUGAJI

TUMIA CHANJO YA TATU MOJA KUOKOA GHARAMA ZA UFUGAJI

UFUGAJI WA KUKU:Je unaitaji kuwa mfugaji bora wa kuku?Usiache kutazama kipindi hiki.

UFUGAJI WA KUKU:Je unaitaji kuwa mfugaji bora wa kuku?Usiache kutazama kipindi hiki.

Как кормить кур бесплатно круглый год: метод трёх систем, который скрывали от фермеров

Как кормить кур бесплатно круглый год: метод трёх систем, который скрывали от фермеров

Рыбалка на круги ночью. Так ловили рыбу, ещё 300 лет назад.

Рыбалка на круги ночью. Так ловили рыбу, ещё 300 лет назад.

MTEJA WA NGUVU, TAZAMA KUKU WA MWENDOKASI WA MIEZI 3 TOKA KWA MTEJA WETU WA MBEZI DAR.

MTEJA WA NGUVU, TAZAMA KUKU WA MWENDOKASI WA MIEZI 3 TOKA KWA MTEJA WETU WA MBEZI DAR.

OFFA OFFA | TUNAUZA KUKU WAZAZI WA MWENDOKASI KWA AJILI YA MBEGU

OFFA OFFA | TUNAUZA KUKU WAZAZI WA MWENDOKASI KWA AJILI YA MBEGU

ЗАКЛЮЧЁННЫЙ ГЕНИЙ: Прожил 30 лет ПОД КЕДРОМ и не знал, что СТАЛИН УМЕР.

ЗАКЛЮЧЁННЫЙ ГЕНИЙ: Прожил 30 лет ПОД КЕДРОМ и не знал, что СТАЛИН УМЕР.

🧄 Что будет, если ПИТЬ ЧЕСНОЧНУЮ ВОДУ 30 дней? Мясников Объясняет

🧄 Что будет, если ПИТЬ ЧЕСНОЧНУЮ ВОДУ 30 дней? Мясников Объясняет

ДНК армян — одно из генетических чудес планеты

ДНК армян — одно из генетических чудес планеты

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]