Bennysofar - Njaa (Official Video)
Автор: Bennysofar _
Загружено: 2021-09-12
Просмотров: 2347
Описание:
Audio by Beefcha!
Video by Director RG.
Supported by Mratibu.
Another one from the album "Beyond Recognition"
Lyrics!
Intro:
Yeah
Bennysofar (Bennysofar)
Shy town (Shy town)
Yeaaahh! Beefchaaaa!
Verse 1.
I see you, I see you, tryin'a be kama si umeangukia pua umetoka kamasi, poor you uko ICU,
I need to I need to understand why unataka kufa from my bars njoo na mwenzako coz I need two,
Usiulize kwanini unajipendekeza sana njaa, Usishangae kwanini hatuwezi kuwekeza bhana njaa,
Why the heck hakunaga content hawaimbi vya maana njaa,
So the only option iliyobakia ni kukanyagana like njaa,
Kila mmoja anataka kuwa juu, nobody's risking for number two's, unahama chama unaenda kingine that means una njaa maslahi tu, tuna whack rappers na whack artist, tunashindwa kutambua who the best at it, tunashindwa kuchambua so we stay addicts, wa whack art work of art less active,
yote sababu ya njaa ndio maana ulikula ada, njaa,
yote sababu ya njaa ndio maana ulikula rushwa, njaa,
umeuza nyumba ya urithi njaa,
smartphone ili ununue kitochi njaa,
binti kapita ukamkwapua pochi njaa,
sio kwamba sikumbuki deni lako njaa, maisha ni magumu mwombe muumba wako jah,
hata usipojiuzulu ukifika muda wako nayo pia ni njaa,
bora kufa kishujaa,
na sio kufa na njaa,
bora kuishi maisha yako,
na sio ku force u-star,
unamdanganya nani like bruuuuh,
God damn!,
Chorus
Njaaaaa oh yeah, njaaaaa alright, njaaaaa okay,
Bridge
Nobody's stopping us, we are unstoppable,
So kama tuna njaa hakuna kukausha lazima kusaka boy. X2
Verse 2.
Njaa inaua, njaa inasumbua,
inafanya ujifanye unajua,
inafanya ujifunze u-mature,
inafanya uje kuwa, kile ambacho ulipaswa wee kuwa, hata ukikosa utafanya unachojua, njaa inafanya unaugua, kama haitoshi unaungua jua, yeah!
Siwezi hang around with you whack dudes coz yo attitude is too whack,
Siwezi wapa heshima au akili yangu coz I know you can't give it back, na kama hatuwezi kuwa na same vision then we can't exchange contacts, huwa sichukii, na sijutii, I just do me,
hey, good vibe's my vibes all vibes is good vibes, so don't kill my vibes, rapper mkali mwenye kauli mbiu, toka enzi za nature ya ugali bila stew, siku hizi hakuna bars fid tuna kiu, waambie whack rappers we ain't checking views, neither are we seated counting interviews, picture me to your sky that's a better view,
Kati ya muda wako na demu wako nani ambaye amekuacha, jiulize!
Lipia madeni ya maji na umeme (luku) ila kisasi usilipize,
wakikuchochea just to break you up waambie uko busy, usiwasikilize, wakikutumia ujumbe don't even bother just take it easy,
Hizo ni njaa do you, wakishashiba wataacha mbuyu, ulianza ka'mchicha, now when it's full you'll get the picture, hata walioipata picha hawakuipiga picha now you get the picture, njaa inafanya watu kuthibitisha tabia zao, kaa mezani uone ile mienendo yao, ndipo hapo utapojua kila mmoja na aina yao,
Njaaaaaaaaa!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: