Waombolezaji bado wanazuru Kang’o Ka Jaramogi wakiomboleza na familia
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-11-01
Просмотров: 7616
Описание: Maelfu ya waombolezaji wamekuwa wakiwasili katika eneo la Kang’o Ka Jaramogi, huko Bondo alikozikwa hayati Raila Amolo Odinga ili kutoa heshima zao. Watu kutoka maeneo tofauti nchini na nje ya nchi wakifika kila siku kuomboleza na familia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: