Wabunge walivyomsindikiza Mama Salma kikwete kula kiapo Bungeni
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-04-04
Просмотров: 135306
Описание: Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma. Leo asubuhi kabla ya kuanza kwa kipindi cha maswali na majibu mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete aliapishwa na kwenye kipindi cha maswali na majibu alipata nafasi ya kuuliza swali lake la kwanza muda mchache baada ya kula kiapo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: