" BARABARA YA RUNAZI - KABINDI IPO TAYARI NA KERO ZA MAJI HATUNA " MH RUBULA ( DIWANI KATA KABINDI )
Автор: MEKA ONLINE TV
Загружено: 2025-05-09
Просмотров: 141
Описание: Diwani Kata ya KABINDI Mheshimiwa PHILBERT RUBULA ameyasema hayo Mbele ya waalikwa na Wajumbe waliohudhuria KTK Sherehe za KUZALIWA Kwa CCM Zilizofanyika Ndani ya Kata ya KABINDI.... Sherehe izo zimefanyika Siku ya Jana ni baada ya kuahirishwa Mwezi Wa pili ambapo ilipangwa apo awali na ikaahirishwa kutokana na ugonjwa Wa MURBURG ulioibuka Ndani ya Mkoa Wetu Wa KAGERA Mwanzoni mwa mwaka Huu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: