KUNA WATU WANADHANI KWAMBA MTOTO MWENYE USONJI AMEROGWA AU AMEWEKEWA ZINDIKO | NI IMANI POTOFU
Автор: Makini tv
Загружено: 2025-04-14
Просмотров: 393
Описание:
Isack Mombury ni Mtaalam wa Tiba ya Kazi (Occupational Therapy) anayejihusisha zaidi kuwahudumia na kuwasaidia watoto wenye changamoto ya Usonji (Autism) kusudi waweze kubadilika na kuweza kujitegemea wao wenyewe.
Katika mahojiano haya na Makini TV, Mombury anafafanua zaidi kuhusu maana ya Usonji, aina za Usonji, Matibabu ya Usonji na imani potofu zinavyoathiri jitihada za kuwasaidia watu wenye usonji nchini Tanzania.
#MAKINITV
.........................................
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►YOUTUBE: / @Makini tv
►INSTAGRAM: / makinitv1
►FACEBOOK: / makinitv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: