Скачать
''Wageni hapa Zanzibar hawana Pesa. Tunakufa kwa njaa. Sokoni bei ya vyakula imepanda sana''
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-11-04
Просмотров: 44322
Описание:
Mtandao wa intaneti umerejea nchini Tanzania tangu Jumatatu jioni ya tarehe 3 Novemba.
Hata hivyo kwa baadhi ya maeneo bado unasuasua kujiunga na mitandao ya kijamii na kurasa za mitandaoni.
-
Zanzibar kwa mfano ambapo biashara kama ya utalii inayoshikilia moyo wa uchumi huo, kukosekana kwa mtandao kuliwaathiri sana
watoa huduma na wateja wao, kama ambavyo mwandishi wetu @sammyawami anatuarifu
-
-
-
#zanzibar #uchaguzi2025 #maandamano #bbcswahili #foryouSubscribe
kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: