SIKU YA PILI , KONGAMANO LA MAOMBI YA WAFANYA BIASHRANA WAFANYA KAZI
Автор: MAOMBI NI DAWA BY PASTOR GODWIN NDELWA
Загружено: 2026-02-22
Просмотров: 542
Описание:
KARIBU KATIKA KONGAMANO LA WAFANYA BIASHARA NA WAFANYA KAZI.
The Voice Of Deliverance Church REHOBOTH MAOMBI NI DAWA Kanisa letu lipo Mbezi ya Malamba mawili popote unapotoka panda Magari ya kwenda mbezi kupitia kinyerezi shuka Malamba mawili ukiuliza tu Kanisa la MAOMBI NI DAWA Utakua umefika,
Karibu uungane nasi katika Ibada zetu zinazofanyika siku ya Kama ifuatavyo
JUMANNE Ni siku maalum ya Mchungaji kumhudumia mtu mmoja mmoja
Huduma hii inaanza saa 4 kamili asubuhi na kuisha saa 10 kamili Jioni.
JUMATANO Ibada inaanza saa 10 kamili Jioni hadi saa 12 kamili Jioni.
IJUMAA Ibada inaanza saa 10 kamili Jioni hadi saa 12 kamili Jioni.
JUMAPILI Ibada inaanza saa 3 kamili asubuhi na kuisha saa 7 Na nusu mchana.
Kwa Mawasiliano zaidi Wasiliana Nasi kupitia +255 743 913 291
Pia Endapo Unahitaji Kujiunganisha nasi kwa matoleo TOA SADAKA YAKO Kupitia
M pesa +255 743 913 291 JINA NI GODWIN NDELWA.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: