IFAHAMU SHULE YA SEKONDARI DAREDA INAYONG'ARA KITAIFA WAHITIMU 265 KIDATO CHA NNE 2025
Автор: AKO TV
Загружено: 2025-10-10
Просмотров: 480
Описание: Shule ya Sekondari Dareda, iliyopo Wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, imeendelea kung'ara kitaifa kutokana na mafanikio ya kiakademiki na nidhamu bora miongoni mwa wanafunzi wake. Mwaka huu wa 2025, shule hiyo inatarajia kuhitimisha jumla ya wanafunzi 265 wa Kidato cha Nne.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: