NAMNA YA KUIOMBEA ARDHI KAMA LANGO. SEHEMU 2
Автор: Mwl Edson Sanga
Загружено: 2026-02-05
Просмотров: 43
Описание:
Unaweza ukawa unamiliki Ardhi/Eneo katika ulimwengu wa mwili na Hati ukawa nazo wewe na zinasoma Jina lako, Lakini Kiroho yaani Katika Ulimwengu wa roho linamilikiwa na Mtu mwingine.
Ni muhimu kuiombea Ardhi yako mara kwa mara ili kuipa uhalali na umiliki wa Kiroho na Kimwili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: