Sonko Mwenyewe
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2014-01-05
Просмотров: 658624
Описание: Seneta wa kwanza wa Nairobi chini ya katiba mpya Mike Mbuvi Sonko kwa wengi anajulikana kuwa bwanyenye na pia kudaiwa kukumbwa na sakata mbalimbali ikiwemo ile ya kuuza dawa za kulevya. Lakini madai haya yana mashiko? Mwanahabari wetu Victor Wetende alikutana naye ili kupata ufafanuzi wa yote haya na mipango aliyonayo kwa wakazi wa Kaunti ya Nairobi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: