Mobo - Siri (Official Lyrical Video)
Автор: Men Of Black Origin
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 163
Описание:
M-salabani alimwaga damu
Pia akatirika maji kwa uchungu
Ili nipone magonjwa yote
Hiyo ndiyo siri ya afya yangu
M-salabani alimwaga damu
Pia akatirika maji kwa uchungu
Ili nipone magonjwa yote
Hiyo ndiyo siri ya afya yangu
[Chorus]
Siri ya uzima wangu, niYesu
Siri ya afya yangu, ni Yesu
Siri ya ufanisi wangu, ni Yesu
Siri ni msalaba wa Yesu kwetu
Siri ya uzima wangu, ni Yesu
Siri ya afya yangu, ni Yesu
Siri ya ufanisi wangu, ni Yesu
Siri ni msalaba wa Yesu kwetu
M-salabani alimwaga damu
Akaniosha dhambi nikatasika
Akafuta dhambi zangu kwa jumla
Hiyo ndiyo siri ya uzima wangu
M-salabani alifanyi kamaskini
Kunikomboa kwenye nira za ufukara
Ili niwe na ufanisi na niwe na mali
Hiyo ndiyo siri ya ufanisi wangu
[Chorus]
Siri ya uzima wangu, niYesu
Siri ya afya yangu, ni Yesu
Siri ya ufanisi wangu, ni Yesu
Siri ni msalaba wa Yesu kwetu
[Guitar]
[Chorus]
Siri ya uzima wangu, niYesu
Siri ya afya yangu, ni Yesu
Siri ya ufanisi wangu, ni Yesu
Siri ni msalaba wa Yesu kwetu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: