Makala Ya Maridhiano Ya Utabiri Wa Kisasa Na Imani Za Jadi Kaunti Ya Tana River
Автор: Maisha Na Mtaa
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 23
Описание: Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya kwa ushirikiano na Serikali ya Kaunti ya Tana River, Idara ya Hali ya Hewa na Mamlaka ya NDMA, limeandaa warsha maalum ya Upangaji wa Matukio Shirikishi, Lengo ni kuandaa jamii dhidi ya utabiri wa msimu wa Machi-Mei 2026 unaoashiria ukame na hali ya joto kali katika maeneo ya kaunti ya Tana river.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: