"UOGA UMEKUKWAMISHA? Tazama Hii Kabla Hujakata Tamaa!"
Автор: Bishop Dankton Rudovick Rweikila
Загружено: 2025-08-13
Просмотров: 317
Описание:
Karibu kwenye video hii ya nguvu! 💪
Je, umewahi kujikuta una ndoto kubwa lakini uoga unakuzuia kuanza? Leo, utajifunza jinsi ya kuushinda uoga, kujenga imani, na kuchukua hatua ya kuthubutu bila kuogopa kushindwa.
Usikubali uoga uendelee kukuzuia!
🔥 Imani ndiyo chanzo cha mafanikio
💥 Ujasiri hujengwa kwa hatua ndogo kila siku
🚀 Thubutu sasa – maisha hayangoji!
Subscribe kwa video zaidi za motisha, ukuaji binafsi na mafanikio!
#motisha #ujasiriamali #Thubutu #Usiogope #ImaniInaweza #MaendeleoBinafsi
ONYESHA UPENDO WAKO KWA MUNGU:
KAMA ISHARA YA KUWA SEHEMU YA FAMILIA YETU USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA KUSHIRIKI VIDEO HII NA WENGINE.
@PowerofGodFireChurch-TANZANIA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: