Mafunzo ya Uongozi: Uongozi na Ufuasi - 2
Автор: Abrar Consult
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 65
Описание: Katika sehemu hii tunajadili kwa kina sifa za wafuasi wazuri, wabaya na wajibu wa wafuasi katika Uongozi. Kadhalika, tunabainisha changamoto walizopata Mtume Muhammad saw na Musa as kutoka kwa wafuasi wao. Mwisho, tunakumbusha kuwa katika mwavuli wa uongozi- waislam wote ni wafuasi wa Mtume Muhammad s.a.w, na viongozi wengine tunapata uhalali maamuzi yetu kwa kufuata mwenendo wake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: